Boresha skrini yako kwa kutumia mandhari maridadi na vipengele mahiri. Chagua mojawapo ya picha zako, picha kwenye mkusanyiko wa Google Earth, mandhari ya kuvutia kutoka kwenye Google+, na mengine mengi. Ibadilishe kadri upendavyo, ili simu yako ionyeshe mtindo unaokufaa. 
 • Furahia mkusanyiko unaozidi kuongezeka. Fikia picha kwenye Google Earth, Google+, na washirika wengine. 
 • Furahia kabisa. Weka mandhari moja kwenye skrini yako iliyofungwa na nyingine kwenye skrini yako ya mwanzo. (Inahitaji Android™ 7.0, Nougat na matoleo mapya.) 
 • Anza kila siku kwa njia ya kipekee. Chagua aina unayopenda na utapata picha mpya ya mandhari kila siku. 
 Ilani ya Idhini 
 Picha/Maudhui/Faili: Zinahitajika ili ufikie na utumie picha maalum kuwa mandhari. 
 Hifadhi: Inahitajika ili uweze kutumia picha maalum kuwa mandhari.
Ilisasishwa tarehe
9 Sep 2020